Introducing Pendwa ShowsBig news! You can now watch Swahili African movies and TV shows on Pendwa.
Pendwa inakuletea Swahili Challenge. Maliza chemshabongo za kiswahili kwenye ukurasa huu na moja kwa moja utakuwa umeingia kwenye nafasi ya kujishindia zawadi ya Tsh 5,000/= kila siku. Maelekezo ni kama ifuatavyo:
Kila siku itachapishwa chemshabongo mpya na kila siku atachaguliwa mshindi mmoja kutoka kwenye orodha ya waliomaliza (Leaderboard inayoonekana hapo chini). Mshindi huyu atatangazwa kwenye mitandao ya kijamii.
Ili kuweza kuwa wa kwanza kupata habari pale chemshabongo mpya za Swahili Challenge zinapochapishwa, fanya yafuatayo.
Please note that this leaderboard is calculated in GMT.