Introducing Pendwa ShowsBig news! You can now watch Swahili African movies and TV shows on Pendwa.
Pendwa itakutumia $10 ikiwa utamaliza chemshabongo hizi na kuwasilisha maeneo matano au zaidi ambayo Pendwa inafanya vizuri au inahitaji kuboreshwa. Baada ya kumaliza, unaweza kutuma maoni yako kwa baruapepe hello@pendwa.app pamoja na jina unalotumia kwenye Pendwa (username). Hakikisha umetengeneza akaunti yako kabla ya kuanza ili tuweze kuthibitisha kuwa umemaliza chemshabongo hizi.
Please note that this leaderboard is calculated in GMT.