Makonda Life inaonyesha maisha ya kijana anayepitia changamoto nyingi katika kazi yake ya dadala. Kipato kinakuwa kidogo, na kumfanya ashidwe kukidhi mahitaji yake na kuhangaika sana katika kutatua matatizo mbalimbali.
Director
Creators
Genre
Drama
Maturity Rating
Unrated
Runtime
2h 2m
Language
Swahili