Watch Kesho | Pendwa Shows
Pendwa Shows
FILM

Kesho

Bwana Meshak, mwalimu wa shule anayetegemewa kijijini, anamrubuni mwanafunzi wake Mwanamboka kimapenzi kwa kuwa ndio tabia yake. Lakini Mwanamboka anasimama imara na kuonyesha thamani yake kwa kusema uovu anaofanya Mr. Meshak.