Tobi kijana mwenye umri wa miaka 43 alimuahidi msichana ambaye katika filamu anacheza kama Niza (29) kuwa atamuoa. Kwa bahati mbaya, Tobi akaoa msichana mwingine aitwaye Luwi (28). Niza hakubaliani na hali hiyo. Je atafanya kitu gani?
Director
Creators
Genres
Romance, Drama
Maturity Rating
Unrated
Runtime
1h 52m
Language
Swahili