Maisha ya ndoa yasipokuwa na maelewano siku zote huweza kuleta madhara makubwa kwenye malezi ya watoto. Kidawa anapitia misukosuko baada ya kukosa malezi ya wazazi wake. Je? Nini anapitia katika maisha yake?
Director
Genres
Romance, Drama
Maturity Rating
Unrated
Runtime
1h 56m