Yusuph Mlela movies and TV shows | Pendwa Shows
Pendwa Shows

Yusuph Mlela

Yusuph Godfrey Mlela ni mwigizaji wa filamu, mtunzi wa filamu na mwanamitindo kutoka nchini Tanzania. Mlela ni miongoni mwa waigizaji waliokuwa wachanga na kuja juu haraka sana.

Pendwa Shows