Watch Malupelupe | Pendwa Shows
Pendwa Shows
FILM

Malupelupe

Mkandarasi avamia jiji kwa kuchukua msichana anayejiuza. Baada ya kwenda kulala nae na kuibiwa nyaraka muhimu za kazi, aliahangaika kumtafuta na mwisho wa siku anakuja kumpata akajikuta kazi ameshapoteza na kuanza kuhangaika na jiji.